Tunatengeneza pc boards zenye ubora wa kutosha na kwa haraka zaidi hapa Tanzania karibuni sana!
1. Kwanza wasiliana nasi kwa namba za simu +255782064717 au +255717006923 kwa maelezo zaidi.unachotakiwa ni kuwa na circuit yako(mchoro) unaotaka kuutengenezea board au km una circuit ambayo imeshatengenezwa unataka kutoa copy nyingine unayofanana na hiyo
Sisi tutaidesign circuit yako kwa ajili ya kuprint board ambayo itafanya kazi yako kuwa bora na rahisi zaidi isiyo na makosa na kurahisisha utengenezaji pia kukitokea tatizo inakuwa rahisi kurekebisha na kupunguza muda wa kuunganisha kifaa kimojakimoja
baada ya hapo kazi yako itakuwa tayari kwa ajili ya kuprintiwa na kutengeneza board
kazi yako itakuwa tayari kabisa na utaipata baada ya siku chache na kuweza kuifanyia kazi, kwa baadhi ya watu wanaweza kuhitaji kadi ambayo imewekwa na vifaa kabisa kama vile kadi za inverter, booster au amplifier kwa gharama tofauti tunaangalia uwezekano wa kazi na tunakubaliana tunatengeneza kabisa na kukuwekea vifaa
bei gani kwa pcb moja
ReplyDeletebei gani kwa pcb moja
ReplyDeleteEnter your comment...mkuu
ReplyDeletenapenda kujifunza na hi hua ndoto yangu sana na nipo tiyari hata kwa kulipia nisaidie mkuu