Tunajishughulisha na kazi mbalimbali za kibunifu za kielectronics kwa mafundi wa mtaani na wale wataalamu tunadesign pcb cads na kuprint, kudesign circuits, kutengeneza circuits na kuimplement projects pia kama una wazo tunaweza kukushauri jinsi ya kulifanyia kazi karibuni wote!!!!!! KAMA UNA WAZO LA KUTUJENGA PIA KARIBU SANA NA TUTAHESHIMU NA KUSHUKURU SANA!!!!
INVERTERS
Tunadesign inverter circuits na kutengeneza inverter za ubora wa hali ya juu pia na back-up inverter ambayo itawasha umeme wakati wa mgao wa umeme na itakuwa ikijichaji yenyewe pindi umeme utakaporudi, pia kama wewe ni fundi tuna michoro ya aina mbalimbali ya inverter na tunadesign board za michoro aina zote
Subscribe to:
Posts (Atom)
Bei ya izo invert haujataja kiongozi......m
ReplyDelete