Tunajishughulisha na kazi mbalimbali za kibunifu za kielectronics kwa mafundi wa mtaani na wale wataalamu tunadesign pcb cads na kuprint, kudesign circuits, kutengeneza circuits na kuimplement projects pia kama una wazo tunaweza kukushauri jinsi ya kulifanyia kazi karibuni wote!!!!!!
KAMA UNA WAZO LA KUTUJENGA PIA KARIBU SANA NA TUTAHESHIMU NA KUSHUKURU SANA!!!!